UBARIKIO WA PAUL MEELA

Image (21)

Hi siku muhimu Kwa Paul Meela kiroho hii ni kumbukumbu ya pekee katika maisha ya kijana huyu . mchungaji Mbando katika   ibada .hapa kijana huyu anaongea kwa mdomo yake kumkataa shetani na kazi zake zote na mambo yake zote.maana akiwa mdogo hakuweza kusema hivyo.katika kanisa la KKKT linatoa mafunzo kwa vijana kwa miaka miwili na baada ya hapo kupata kipaimara pamoja na  cheti cha kuhitimu mafunzo ya biblia.picha nyingine ni sherehe ya paul nyumbani kwao kondeni mwika mkoania kilimanjaro.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s