Jambazi lolangulu

Mtu mmoja anayefahamika kwa jina moja Juma amepigwa na wananchi wenye asira kali na kusababishia kifo pamoja na kumchoma moto .Akishuhudia tukio hilo shuhuda mmoja alisema alikuwa na pikippiki aina ya sanya ambayo aliiiba huko wilayani Urambo na alikuwa anaelekea mjini kutafuta mteja.

Baada ya kufika kijiji cha lolangulu alielekea kijiji cha  Isenga ambako alikuwa akifanya kazi yapita miaka mitano

Ndugu wa marehemu amesema kijana huyo anaishi na mama yake katika kijiji cha Itundu urambo..aliongeza pia mama yake anaitwa kwa jina maarufu Ngege.by meelakamanda

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s