HISTORIA YA WIMBO WATAIFA LA TANZANIA

KISWAHILIBY  PAUL MEELA

Mungu ibariki Afrika

Mungu Ibariki Afrika ni jina la wimbo wa taifa wa Tanzania. Asili yake ni wimbo wa Nkosi Sikelel’ iAfrika wa Afrika Kusini. Enoch Sontonga ndiye mtunzi wa Nkosi Sikelel’i Afrika mwaka 1897. Sehemu ya wimbo huu inatumika pia katika nyimbo za taifa za Afrika Kusini na Zambia. Na huko nyuma ulitumiwa kama wimbo wa taifa wa Zimbabwe.
Mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Afrika
Wabariki viongozi wake
Hekima, Umoja na Aman
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake
KIITIKIO:
Ibariki
AfrikaIbariki
AfrikaTubarik
i watoto wa Afrika Mungu ibariki TanzaniaDumisha Uhuru na UmojaWake kwa Waume na WatotoMungu ibariki Tanzania na watu wake
KIITIKIO:
Ibariki TanzaniaIbariki TanzaniaTubariki watoto wa Tanzania

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s